Latest Updates

News & Announcements

Form Four Results Announcement New

Mtihani nusu Muhula - 2026

Matokeo yatapatikana kwenye mfumo wa HARIS na barua pepe ya "academic@harshavss.ac.tz" baada ya siku mbili za rikizo. Aidha, Zawadi za washindi wa kwanza zitatolewa mara baada ya kufungua shule...

Imetolewa: May 11, 2026 09:30 AM
New ICT Laboratory Opened New

Harsha VSS Nafasi ya Pili kwenye Vice Chancellor's Challenge, LPU - INDIA

Pichani(kushoto) ni Eng. mwl. Charles C. Mandia kuwa kinala wa mashindano ya Vice Chancellor's Challenge kwa kuiwakilisha..

Punjab, India - April 18, 2026 11:00 AM
Picha ya bungeni Dodoma

WALIMU 150 - WAGENI WA OWM TAMISEMI

Mapokezi ya walimu: Pichani ni Eng. Mwl. Joyce Baravuga - Mratibu wa Elimu Mtandao, Ofisi ya Raisi TAMISEMI (katikati),

BUNGENI, DODOMA - April 05, 2026 01:00 PM
Engineering Workshop Inauguration

Match DAY! MATCH DAY!

Turejee Viwanjani, Siku ya mpira kati ya Waalimu wa amali za Kihandisi na TEHAMA kuungana dhidi ya Wanafunzi kidato cha kwanza...

Harsha Sports Arena - April 05, 2026 02:15 PM
Form One Admissions Open

Timu ya ukaguzi Miradi ya Mkoa, Kufika shuleni

Pichani, Mkuu wa shule Mr. Mussa H. Mkude akiwa na Mkuu wa wilaya ya Mbulu katika awamu ya pili ya ukaguzi...

Chanzo: Mbulu DC - May 05, 2026 08:00 AM